Habari za Mastaa

STEVE NYERERE: Baada ya Tundu Lissu kushambuliwa kwa risasi

on

Tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi na watu wasiojulikana linazidi kuchukua headline tangu lilipotokea September 7, 2017 kwa watu mbalimbali kulizungumzia…Steve Nyerere naye kalizungumzia.

“Kwa yanayoendelea hakuna mwenye uhakika wa maisha” – Hussein Bashe

“Hakuna aliye salama, hili linaichafua Serikali” – Nape Nnauye

Soma na hizi

Tupia Comments