Michezo

Ni Luis Suarez kwa mara nyingine tena mabibi na mabwana

on

BngcfY_CIAAXc6BPamoja na kukosa ubingwa wa ligi kuu ya England, inaonekana mwaka huu umekuwa mzuri sana kwa mshambuliaji wa Uruguay anayekipiga kwenye klabu ya Liverpool Luis Suarez.

Siku kadhaa zilizopita alitajwa kuwa mwanasoka bora wa ligi hiyo kupitia chama cha wanasoka wa England na nyingine ya chama cha waandishi wa habari, leo hii wakati zikitolewa tuzo mbalimbali na wadhamini wa ligi hiyo benki ya Barclays… Suarez ameshinda tuzo mbili, uchezaji bora wa mwaka na ufungaji bora kwenye EPL.

Wakati huo huo kocha wa Crystal Palace Tony Pulis nae alijishindia tuzo ya kocha bora wa mwaka.

Stori kama hizi ni halali yako zisikupite… niko tayari kukutumia kwenye twitter instagram na facebook, jiunge na mimi kwa kubonyeza HAPA na >> INSTA na FB

Tupia Comments