AyoTV

VIDEO: Alichokizungumza Joseph Mbilinyi ‘SUGU’ kabla ya Nape kukutana na waandishi

on

Baada ya taarifa ya leo March 23 2017 kutoka IKULU iliyoeleza kuwa nafasi ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Nnauye kuvuliwa uwaziri,  Waziri kivuli wa wizara hiyo ambaye pia ni mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi ametoa maoni yake kuhusu maamuzi hayo. Bonyeza play hapa chini kutazama

FULLVIDEO: Alichokizungumza Nape Nnauye alipokutana na waandishi wa habari, Bonyeza play hapa chini

 

Soma na hizi

Tupia Comments