AyoTV

VIDEO: ‘Siku hizi hii TFF imebadilishwa hadi jina’ –Cosato Chumi

on

Mbunge wa Mafinga Mjini Cosato Chumi amelitaka shirikisho la soka nchini TFF kujikita katika kuhakikisha kuwa inakuza viwango timu ya Taifa katika viwango vya FIFA badala ya kupoteza Muda kwenye vikao vya kuwafungia wadau wa soka.

Akifafanua , Chumi alisema mpaka Machi mwaka huu, Tanzania ilikuwa nafasi ya 157 wakati Taifa kama Afghanistan ambao wako vitani Muda wote walikuwa nafasi ya 156

VIDEO: Maamuzi mapya ya Asley baada kukabidhiwa wasanii sita 

Soma na hizi

Tupia Comments