AyoTV

VIDEO: Alichoongea Mbunge Musukuma Bungeni kuhusu sakata la Madini

on

Baada ya jana Rais Magufuli kukutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Barrick ya Canada Prof. John L. Thorton ikiwa ni pamoja na kukubaliana kulipa hasara zitakazobainika, leo June 15, 2017 Mbunge wa  Geita Joseph Musukuma amesimama Bungeni kuwakosoa wanaompinga Rais.

VIDEO: Aliyemfukuza Mwizi auawa yeye badala ya Mwizi DSM…kisa? 

Soma na hizi

Tupia Comments