Top Stories

Sumaye alivyotangaza kujiondoa CHADEMA

on

Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye amesema wajumbe wa CHADEMA waliopaswa kupiga kura za uenyekiti wa Kanda ya Pwani walipigiwa simu kuwa wampigie kura za hapana, huku wengine wakifichwa hotelini, ambapo yote ni kutokana na yeye kutaka kugombea Uenyekiti wa CHADEMA Taifa.

MAFURIKO YATIKISA TABORA, RC MWANRI “HIKI NI CHA MTOTO”, WANANCHI WALIA

Soma na hizi

Tupia Comments