AyoTV

VIDEO: Waziri mkuu mstaafu Sumaye kazungumza kinachoendelea kuhusu Makonda

on

Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA na Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye ambaye pia ni mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Pwani na uongozi wake wa Kanda na ngazi za chini yake wamekutana na waandishi wa habari kuzugumzia masuala muhimu kuhusu hali ya siasa na utawala inavyoendelea nchini ikiwemo yanayoendelea kuhusu Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda. Bonyeza Play hapa chini kutazama

VIDEO: “Siasa sio kupigana ni kupingana kwa hoja”- Edward Lowassa, Unaweza kubonyeza play hapa chini kuitazama 

Soma na hizi

Tupia Comments