Top Stories

Supplier agoma kutoa password ya kufungua maji, Aweso aagiza akamatwe (+video)

on

Naibu Waziri wa Maji Jumaa Aweso, ameagiza kukamatwa kwa Msimamizi wa Mradi wa Maji Shimbi Masharik Wilayani Rombo, Godson Josea, pamoja na Mhandisi wa Mradi huo Thomas Amos, ambao ni wafanyakazi wa Kampuni ya HecoSan Mark .

Sababu mojawapo ya kukamatwa kwa watu hao ni pamoja na kushindwa kufanya malipo kwa Supplier wa pampu za maji hali iliyosababisha kuzuia kutoa password za pampu hizo na wananchi kuendelea kusota na shida ya maji.

BREAKING: MAGUFULI AMTUMBUA LUGOLA “UNANITESA, ONDOKA HAPA SINA URAFIKI KAZINI”

Soma na hizi

Tupia Comments