Ad

Habari za Mastaa

Hawa mashabiki waliwekwa chumba kimoja na Justin Bieber bila kujua ni suprise. (suprise video)

on

Mwimbaji Justin Bieber ambaye sasa hivi jina lake linatajwa sana kwenye Radio na TV kutokana na hit single yake ya ‘sorry’ aliitwa kwenye TV show ya Ellen ambapo alitakiwa kuwa-suprise mashabiki zake wa kike ambao walikua hawajui kama Justin yuko kwenye hichohicho chumba cha studio, tazama hii video hapa chini

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, InstagramnaYouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Tupia Comments