AyoTV

VIDEO: “Watoto wa kike wananyanyaswa, wanabakwa” – Dr. Jasmine

on

Mjadala wa kuchangia mapendekezo katika Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2017/18 ambapo miongoni mwa waliopata nafasi hiyo leo June 15, 2017 ni Mbunge wa Vyuo Vikuu Dr. Jasmine Bunga ambaye alilieleza Bunge baadhi ya changamoto ambazo zinawakabili Wanawake na watoto kwa ukosefu wa maji ikiwa ni pamoja na matukio ya kubakwa mara kwa mara…

VIDEO: Alichoongea Mbunge Musukuma Bungeni kuhusu sakata la Madini 

Soma na hizi

Tupia Comments