AyoTV

VIDEO: “Serikali ifanye kazi ya kutatua matatizo” – Susanne

on

Mbunge wa Viti Maalum Susanne Maselle ‘CHADEMA’ amesema Serikali imekuwa inaunga mkono baadhi ya matukio ya migomo ya wavuvi kutokana na changamoto mbalimbali zinazowakabili na kushindwa kutatua changamoto hizo.

VIDEO: Dakika 10 za Prof. Tibaijuka Bungeni kuhusu Wizara ya Maliasili 

 

Soma na hizi

Tupia Comments