Habari za Mastaa

AudioMPYA: Yamoto Band wanatualika kuisikiliza hii single yao mpya

on

Baada ya Yamoto Band kufanya vizuri kwenye single waliyomshirikisha Ruby iitwayo ‘Suu’, sasa time hii wanatualika kuisikiliza hii single yao mpya iitwayo Mijudo, Mtu wangu usisahau kuniachia comment yako hapa na wakali hawa wataiona hapa

ULIIKOSA HII SABABU YA MSANII RUBY KUTOKUONEKANA KWENYE VIDEO YA ‘SUU’ BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments