Mix

AUDIO: Meneja wa Alikiba aelezea kwa undani faida za Alikiba kwenye mkataba na Sony

on

Mwimbaji wa bongofleva Tanzania Alikiba alijaa kwenye headlines baada ya kusaini mkataba mpya na kampuni kubwa ya muziki ya Sony Johannesburg South Africa May 19 2016, Meneja wake aitwae Seven amekaa kwenye Exclusive na Millard Ayo na kuelezea kwa undani vitu atavyopata Alikiba kwenye huo mkataba, bonyeza play hapa chini

ULIIKOSA NEWS YA ALIKIBA KUSAINI NA SONY? TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments