Michezo

Sven Vanderbroeck awatoa hofu mashabiki wa Simba SC

on

Club ya Simba SC wakati ikiwa ipo kwenye presha kubwa kutoka kwa mashabiki wa Simba SC kutokana na kupoteza mchezo wao uliopita, Simba SC kesho itacheza dhidi ya Mtibwa Sugar  katika uwanja wa Jamhuri Morogoro, kuelekea mchezo huo kocha mkuu wa Simba SC Sven Vanderbroeck ametoa kauli inayotoa kwa mashabiki.

“Hakuna sababu iwe ni hali ya uwanja, mvua, jua au waamuzi wa mchezo kesho haipaswi kuwa sababu. Ni ushindi pekee ndio tunahitaji na tuna kazi ya kuhakikisha tunafanikisha hilo” >>> Sven Vandenbroeck

Simba SC licha ya kupoteza mchezo uliopita lakini bado inaongoza Ligi kwa kuwa na jumla ya point 50 ilizozipata katika michezo 20, huku Mtibwa Sugar wakiwa nafasi ya 13 kwakuwa na jumla ya point 23 ikicheza jumla ya michezo 19.

VIDEO: MASAU BWIRE ATOLEWA NA WANAJESHI, MASHABIKI WA YANGA WAMZONGA

Soma na hizi

Tupia Comments