HekaHeka

HEKAHEKA: Mwanaume aelezea jinsi Mkewe alivyopotea na kukuta mwili wake umeliwa

on

Hekaheka ya Leo February 20, 2018 imetokea Nachingwea Masasi ambapo kuna mama alipotea akiwa anachunga ng’ombe porini, watu walimtafuta bila mafanikio na baadae walifanikiwa kupata ng’ombe bila kumpata huyo mama.

Mume wa mwanamke huyo ameeleza kuwa Baada ya kumkosa walipeleka taarifa polisi lakini hawa kumpata mpaka alipokuja kusikia kuna mwili umeokotwa porini umeliwa na wanyama ndipo alipoeenda na kugundua kuwa ni kweli alikuwa ni Mkewe.

Bonyeza PLAY hapa chini kusikiliza FULL STORY

HEKAHEKA: Watu wamechanganya Makaburi, Ugomvi umezuka

Soma na hizi

Tupia Comments