Videos

VideoMPYA: Mabibi na mabwana Young killer ametuletea video mpya ‘Sinaga swagga’

on

January 8 2017 mkali wa miondoko ya Hip-Hop Tanzania Kassim Yusuph a.k.a Young killer ameachia mdundo wake mpya unaoitwa ‘Sinaga swagga‘ na tayari nimekusogezea video yake hapa chini.

Ni ruksa kudondosha comment yako baada ya kuitazama video hii na ukasema lolote ili baadae Young killer mwenyewe aweze kuzisoma.

Shilole alipomuuliza Young Killer anatumia mkorogoro? 

Unazitaka Breaking NEWS na Stori zote? ungana na Millard Ayo kwenye Facebook Twitter Instagram na Youtube na atakuletea matukio yote ya picha, video na habari iwe usiku au mchana…. bonyeza hapa >>> FB Twitter Instagram YouTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments