AyoTV

Unazitaka video 10 kali za Afrika kwa sasa? ya Afrika Mashariki iko moja tu…

on

Wizkid 1Ni time nyingine tena ya kukutanisha na kituo cha TV cha kimataifa cha Ufaransa (Trace Urban) ambacho kimekua na rekodi ya kucheza video kali na nyimbo zenye viwango tu hivyo kujizolea sifa mpaka kwenye kona mbalimbali za Afrika.

Namba 10 ni Mavins Dorobucci ft. Don Jazzy, Tiwa Savage, Dr SID, D’Prince, Reekado Banks, Korede Bello, Di’Ja

Namba 9 ni wimbo pekee wa Wasanii kutoka Afrika Mashariki, Sauti Sol wa Kenya – nishike

Namba 8 ni Iyanya – Mr Oreo

Namba 7 ni Jaiye Ori Mi ya Banky W

Namba 6 ni P Square ft. T.I – Ejeajo

Namba 5 ni hii hapa chini imechukuliwa na Wizkid – Show you the money

Namba 4 ni Wande Coal – Baby Hello

Namba 3 ni Burna Boy – Don Gordon

Namba 2 ni hii ya Olamide – Story of the Gods.

Video iliyoshika namba 1 kwenye hii list yenye nyimbo tisa kutoka Nigeria ni hii ya Mr. Flavour  Ft. Wande Coal – Wake Up

Kuna wimbo unaupenda na unaamini ulistahili kuingia kwenye hii Top 10? usiache kuniandikia comment yako hapa chini mtu wangu

Tupia Comments