Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu yaTwitter>>>@millardayo na Zote nakusogezea hapa chini
Kesi ya IPTL dhidi ya Zitto Kabwe na wenzake kusuluhishwa March 23, Uendeshwaji wake hautaripotiwa kwenye vyombo vya habari #MWANANCHI
— millardayo (@millardayo) March 15, 2016
Watu 292 wamepoteza maisha kwa kipindupindu huku Serikali ikitumia mil 900 kupambana na ugonjwa huo tangu Agosti mwaka jana #MWANANCHI
— millardayo (@millardayo) March 15, 2016
Serikali ya Malawi imeteketeza tani 2.6 za meno ya tembo zilizonaswa na maofisa wa usalama zikitokea Tanzania #MWANANCHI #March 15
— millardayo (@millardayo) March 15, 2016
Polisi Kanda Maalumu ya Dar imefanikiwa kuwanasa watuhumiwa 50 wa mtandao wa wizi wa magari na kufanikiwa kuyaokoa magari 24 #UHURU
— millardayo (@millardayo) March 15, 2016
Serikali kulitafiti somo la hisabati na kuangalia namna ya kulifanya kuwa rafiki kwa wanafunzi #MAJIRA #March 15 >>>https://t.co/s1idvBVjI1
— millardayo (@millardayo) March 15, 2016
DAWASCO yaipiga faini ya mil 100 Taasisi ya Elimu ya Biashara 'CBE' baada ya kubaini uwepo wa wizi mkubwa wa maji #UHURU
— millardayo (@millardayo) March 15, 2016
TANESCO yazima mitambo yote ya dharula, lengo ikiwa kupunguza gharama za uendeshaji ambazo zimekuwa zikitishia kuliua shirika hilo #JamboLEO
— millardayo (@millardayo) March 15, 2016
TANESCO kuachana na Aggreko, yabainika huilipa IPTL mil 189 kwa siku, Songas mil 437 #RaiaTANZANIA #March 15
— millardayo (@millardayo) March 15, 2016
Serikali ina mpango wa kuchunguza mradi wa ugawaji fedha kwa kaya maskini unaotekelezwa na Tasaf #RaiaTANZANIA #March 15
— millardayo (@millardayo) March 15, 2016
Utekelezaji wa sera ya elimu bure, Dar imesajili watoto 85,000 darasa la kwanza ikilinganishwa na 68,000 miaka iliyopita ikiwa #RaiaTANZANIA
— millardayo (@millardayo) March 15, 2016
ULIKOSA ALICHOONGEA PAUL MAKONDA PUNDE TU ALIPOTEULIWA KUWA MKUU WA MKOA WA DAR? ANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenyeTwitter,FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTERFBYOUTUBE