Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Habari 10 kubwa kutoka kwenye Magazeti ya Tanzania March 15 2016
Share
Notification Show More
Latest News
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
June 2, 2023
Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.
June 2, 2023
Nyota wa zamani wa Manchester United Lingard kuondoka Nottingham Forest
June 2, 2023
Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano
June 2, 2023
Amnesty yaonya Iran dhidi ya Kunyonga kwa Kesi zinazohusiana na madawa ya kulevya
June 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > Habari 10 kubwa kutoka kwenye Magazeti ya Tanzania March 15 2016
Mix

Habari 10 kubwa kutoka kwenye Magazeti ya Tanzania March 15 2016

March 15, 2016
Share
1 Min Read
SHARE

Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu yaTwitter>>>@millardayo na Zote nakusogezea hapa chini

Kesi ya IPTL dhidi ya Zitto Kabwe na wenzake kusuluhishwa March 23, Uendeshwaji wake hautaripotiwa kwenye vyombo vya habari #MWANANCHI

— millardayo (@millardayo) March 15, 2016

Watu 292 wamepoteza maisha kwa kipindupindu huku Serikali ikitumia mil 900 kupambana na ugonjwa huo tangu Agosti mwaka jana #MWANANCHI

— millardayo (@millardayo) March 15, 2016

Serikali ya Malawi imeteketeza tani 2.6 za meno ya tembo zilizonaswa na maofisa wa usalama zikitokea Tanzania #MWANANCHI #March 15

— millardayo (@millardayo) March 15, 2016

Polisi Kanda Maalumu ya Dar imefanikiwa kuwanasa watuhumiwa 50 wa mtandao wa wizi wa magari na kufanikiwa kuyaokoa magari 24 #UHURU

— millardayo (@millardayo) March 15, 2016

Serikali kulitafiti somo la hisabati na kuangalia namna ya kulifanya kuwa rafiki kwa wanafunzi #MAJIRA #March 15 >>>https://t.co/s1idvBVjI1

— millardayo (@millardayo) March 15, 2016

DAWASCO yaipiga faini ya mil 100 Taasisi ya Elimu ya Biashara 'CBE' baada ya kubaini uwepo wa wizi mkubwa wa maji #UHURU

— millardayo (@millardayo) March 15, 2016

TANESCO yazima mitambo yote ya dharula, lengo ikiwa kupunguza gharama za uendeshaji ambazo zimekuwa zikitishia kuliua shirika hilo #JamboLEO

— millardayo (@millardayo) March 15, 2016

TANESCO kuachana na Aggreko, yabainika huilipa IPTL mil 189 kwa siku, Songas mil 437 #RaiaTANZANIA #March 15

— millardayo (@millardayo) March 15, 2016

Serikali ina mpango wa kuchunguza mradi wa ugawaji fedha kwa kaya maskini unaotekelezwa na Tasaf #RaiaTANZANIA #March 15

— millardayo (@millardayo) March 15, 2016

Utekelezaji wa sera ya elimu bure, Dar imesajili watoto 85,000 darasa la kwanza ikilinganishwa na 68,000 miaka iliyopita ikiwa #RaiaTANZANIA

— millardayo (@millardayo) March 15, 2016

ULIKOSA ALICHOONGEA PAUL MAKONDA PUNDE TU ALIPOTEULIWA KUWA MKUU WA MKOA WA DAR? ANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenyeTwitter,FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTERFBYOUTUBE

You Might Also Like

Wabunge wafurahishwa na utekelezwaji wa mradi wa bomba la mafuta ghafi EACOP

Profesa Mkenda kufungua maonesho ya Nane ya Tafiti na Ubunifu UDSM

Miaka 5 ya ITM, Serikali imeahidi kuadhimisha sekta ya rasilimali watu

Yanga, UNICEF na Serikali zaungana kutoa elimu Ugonjwa wa Kipindupindu

Msaada wa pikipiki kwa Polisi kulinda Watalii

TAGGED: Facebook Twitter na Insta, top10 Magazeti
Millard Ayo March 15, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo March 15 2016 kwenye, Udaku, hardnews na michezo
Next Article Bumbuli ina miti hii ambayo Mizizi yake inaota kwenda Juu kama Ukuta..
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
Top Stories June 2, 2023
Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.
Top Stories June 2, 2023
Nyota wa zamani wa Manchester United Lingard kuondoka Nottingham Forest
Sports June 2, 2023
Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano
Top Stories June 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi

June 2, 2023
Top Stories

Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.

June 2, 2023
Sports

Nyota wa zamani wa Manchester United Lingard kuondoka Nottingham Forest

June 2, 2023
Top Stories

Amnesty yaonya Iran dhidi ya Kunyonga kwa Kesi zinazohusiana na madawa ya kulevya

June 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?