AyoTV

Instagram wiki hii: Rammy yuko kwa Masogange? V kwa Kanye West je? Lulu na Nigeria…

on

AyoTV itakua ikikukutanisha na stori za mastaa kwenye mitandao ya kijamii wanayoimiliki ambapo Asteria Mvungi leo anakukutanisha na kilichopatikana wiki hii, jibu la Rammy Galis kuhusu mapenzi na Masogange, Kanye West na watanzania, Lulu na Nigeria, Producer wa Ney na Diamond.. bonyeza play kwenye hii video hapa chini

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments