Habari za Mastaa

Midundo 20 bora ya Clouds FM Top 20 February 19 2017 (+Videos)

on

Top 20 ya February 19 2017 ikisimamiwa na Mtangazaji Mami Baby ilikamilisha hesabu ya nyimbo 20 bora za wiki ambapo kama ulipitwa hii ni time yako ya kujua chati inasemaje time hii.

Wiki iliyopita nafasi ya 20 ilikamatwa na Navy Kenzo Ft. Alikiba – “lini” lakini weekend ya February 19 2017 nafasi hiyo imekamatwa na Migos  ft Lil Uzi Vert – Bad and Boujee likiwa ni ingizo jipya.

20 Migos  ft Lil Uzi Vert – Bad and Boujee

Nafasi ya 19 wiki iliyopita ilishikwa na CHEKEDAA – STAREHE na wiki hii kashikilia Ben Pol – Phone kwa mara ya kwanza kabisa inaingia kwenye nafasi hii ya 19.

19 Ben Pol – Phone

Nafasi ya 18 wiki iliyopita ilikuwa Joh Makini – Waya lakini weekend ya February 19 ameikamata Queen Darleen ft Rayvany – kijuso.

18 QueenDarleen ft Rayvany – kijuso

Nafasi ya 17 still ilishikiliwa na VANESSA MDEE – CASH MADAME na wiki hii kaikamata The Weekend- Starboy ambaye alikuwa nafasi ya 12 wiki iliyopita

17 The Weekend- Starboy

Nafasi ya 16 ilimilikiwa na Barnaba Boy – Lover Boy wiki iliyopita wakati wiki hii inamilikiwa na Navvy kenzo ft Alikiba waliokamata nafasi ya 20 wiki iliyopita.

16 Navvy kenzo ft Alikiba 

Wiki iliyopita nafasi hii ya 15 ilikamatwa na QUEEN DARLING FT RAYVANNY – KIJUSO lakini wiki hii tayari kashikilia Mrembo Vanessa mdee – cash madame

15 Vanessa Mdee – Cash madame

Wakati Vanessa Mdee alikamata nafasi ya 14 na RUN TOWN – MAD OVER YOU wiki iliyopita, nafasi hii wiki hii imekamatwa na Mwamba wa kaskazini Joh Makini – WAYA 

14 Joh Makini – WAYA

Wiki iliyopita nafasi ya 13 ilishikiliwa na MADEE – HELA na wiki hii iko mikononi mwa NEDY MUSIC FT CHRISTIAN BELLA – RUDI iliyokua nafasi ya 11

13. NEDY MUSIC FT CHRISTIAN BELLA – RUDI

Runtown – Mad Over You imekamata namba 12 wakati wiki iliyopita nafasi hii ilishikiliwa na The Weekend – Starboy na Runtown kukamata nafasi ya 14

12 Runtown– Mad Over Your

Nafasi ya 11 wiki iliyopita ilikuwa NEDY MUSIC FT CHRISTIAN BELLA – RUDI ambayo wiki hii imeshika nafasi ya 13 lakini nafasi 11 leo ni ya MADEE – HELA ambayo ilikua namba 13 wiki iliyopita

11 MADEE – HELA

Nafasi ya 10 wiki iliyopita ilikuwa  TIMBULO FT BARAKA THE PRINCE – USISAHAU na nafasi hiyo wiki hii imebaki kuwa ya kwake huyohuyo Timbulo.

10. TIMBULO FT BARAKA THE PRINCE – USISAHAU

Nafasi ya 9 wiki iliyopita ilikuwa ni ya Bill Nas ft. Mwana FA – mazoea wakati wiki hii iliyoisha imemilikiwa na DJ KHALED – DO YOU MIND FT. NICKI MINAJ, CHRIS BROWN

09 DJ KHALED – DO YOU MIND FT. NICKI MINAJ, CHRIS BROWN, AUGUST ALSINA, JEREMIH, FUTURE, RICK ROSS

Wiki hii kwenye nafasi ya 8 ni ya DARASSA FT BEN POL – MUZIKI na wiki iliyopita ilikuwa ni ya Dj khaled – Do you Mind 

08 DARASSA FT BEN POL – MUZIKI

Nafasi ya 7 wiki iliyopita ilikuwa DARASSA FT BEN POL – MUZIKI aliyeshuka nafasi moja mpaka ya 8 na nafasi hiyo ya 07 wiki hii ni ya BILL NAS FT MWANA FA – MAZOEA imepanda kutoka nafasi ya 09 mpaka ya 07

07 BILL NAS FT MWANA FA – MAZOEA

Nafasi ya 6 wiki iliyopita ilimilikiwa na NANDY – ONE DAY na ameendelea kubaki palepale

06 NANDY – ONE DAY

Nafasi ya 05 wiki hii inamilikiwa na NYASHINSKI – MUNGU PEKEE ambaye hata wiki iliyopita ilikuwa hapohapo

05 NYASHINSKI – MUNGU PEKEE

Nafasi ya 4 wiki iliyopita ilishikiliwa na BELLE 9 FT GNAKO WARAWARA – GIVE IT TO ME na wiki hii nafasi hiyo imeshikiliwa na CHRIS BROWN FT USHER & GUCCI MONEY – PARTY kutoka nafasi ya 2 wiki iliyopita

02 CHRISSBROWN FT USHER & GUCCI MONEY – PARTY

Nafasi ya 3 wiki hii imeshikiliwa na BELLE 9 FT GNAKO WARAWARA – GIVE IT TO ME wakati wiki iliyopita ilikuwa inashikiliwa na MWANA FA FT VANESSA MDEE DUME SURUALI

03 BELLE 9 FT GNAKO WARAWARA – GIVE IT TO ME

MWANA FA FT VANESSA MDEE -Dume suruali imeshikilia Nafasi ya pili kutoka ya 3 wakati uliopita

02 MWANA FA FT VANESSA MDEE DUME SURUALI

Nafasi ya kwanza wiki iliyopita ilikamatwa na DITTO – MOYO SUKUMA DAMU na wiki hii nafasi hii ya kwanza bado ipo chini ya Ditto.

  1. 1. DITTO – MOYO SUKUMA DAMU

FULL VIDEO: Show ya Alikiba Durban South Africa ( February 18 2017 ) itazame kwenye hii video hapa chini

VIDEO: Mimi Mars Mdogo wake Vanessa Mdee kaingia kwenye muziki, bonyeza play hapa chini kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments