AyoTV

Interview 3 za kutazama wiki hii, Diamond, Mrembo Naj na mzigo uliokua unatumwa China. (Videos)

on

Hapa kuna video tatu za stories kutoka kwenye channel ya Millard Ayo YouTUBE, ya kwanza ni hii Exclusive Interview ya mwimbaji Diamond Platnumz aliejibu maswali ambayo hakuyajibu kwa kipindi kirefu ikiwemo ya kwanini hakupost tuzo za Kili, kushika simu ya Zari, kolabo na Mmarekani.

Interview ya pili hapa chini ni msanii wa bongofleva Naj kuhusu ambaye ni X girlfriend wa Mr. Blue, kaongea kwa zaidi ya dakika 10 na mengine ni Exclusive.

Video ya tatu ni hii ya Mzigo uliokamatwa bandarini na Wizara ya mali asili na utalii ukipelekwa China kupitia njia ya bahari.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments