Habari za Mastaa

Jibu la Diamond Platnumz kwa shabiki alieuliza kwa nini hatoi sadaka

on

Ni Headlines za staa wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platnumz ambae hakuweza kufisha hisia zake na kumjibu shabiki ambae alicomment kwenye ukurasa wake wa instagram na kuuliza kwanini hatoi sadaka.

Diamond Platnumz alimjibu na kuyaandika haya…>>>Nimejenga nyumba 5 mwaka jana Iringa, Misikiti miwili na mmoja Morogoro na pia mwingine Mtwara na madrasa Tegeta na nyumba ya imamu mbali na sadaka unataka nitoe hela zote sadaka nami nisifuhishe nafsi yangu embu niombe radhi kwa hilo.” – Diamond

ULIIKOSA HII YA DIAMOND PLATNUMZ KUHUSU WASAFI.COM BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

 

Soma na hizi

Tupia Comments