Burudani

Yemi Alade kaimba Kiswahili kwenye wimbo wake mpya Poverty (Swahili Version)

on

NI Headlines za Yemi Alade kutoka Nigeria ambae Afrika ilimtambua kwa uzito kupitia single yake ya ‘Johnny’ na baadae katuletea single nyingine mfululizo….

Sasa leo nimekuletea hii single yake mpya iitwayo Poverty yenye (Swahili Version) yaani kaimba Kiswahili, staa huyo kwa hii itakuwa ni single yake ya pili kwa kutumia lugha ya Kiswahili.

Soma na hizi

Tupia Comments