Michezo

PICHA 9: Staa wa Real Madrid yupo Serengeti na Mpenzi wake

on

Beki wa club Real Madrid ya Hispania aliyeko kwa mkopo club ya Theo Hernandez ameingia katika list ya mastaa wa soka wa Ulaya ambao wameamua kuja Tanzania kwa ajili ya mapumziko yao ya mwisho wa msimu.

Kwa mujibu wa picha zilizopo katika ukurasa wake wa instagram ni kuwa Theo ameonekana akiwa katika hifadhi ya taifa ya Serengeti pamoja na mpenzi wake, huyu sio staa mkubwa wa kwanza wa soka Ulaya kuwahi kuja Tanzania aliwahi kuja David Beckham na familia yake, Eriksen wa Tottenham na Martin Sktel aliyekuwa anaichezea Liverpool.

EXCLUSIVE: Msuva kuhusu kitendo cha Salamba kuomba viatu vya Banega

Soma na hizi

Tupia Comments