Michezo

Sababu nyingine kwa nini hutakiwi kukosa Taifa kuishangilia Taifa Stars Jumapili

on

Jumapili ya Septemba 22 2019 uwanja wa Taifa Dar es Salaam utachezwa mchezo wa kuwania kufuzu kucheza fainali za mataifa ya Afrika kwa wachezaji wanaocheza Ligi za ndani (CHAN), mchezo huo utahusisha timu ya taifa ya Tanzania dhidi ya Sudan.

Tanzania inawania nafasi hiyo ikiwa ndio imewahi kushiriki mara moja pekee katika historia yake, wakati huo ikiwa 2009 chini ya kocha Marcio Maximo, sababu kuu ya watanzania kushauriwa kwenda kwa wingi uwanjani licha ya kuisapoti Taifa Stars, gharama za kiingilio ni bei rahisi tu Tsh 2000.

VIDEO: Moja kati ya magoli ya marehemu Jeba, hili liliwaumiza wana-Simba 2016

Soma na hizi

Tupia Comments