Michezo

Manara ataambia nini watu? 😂😂😂😂😂

on

Afisa habari wa club ya Simba SC Haji Manara ukiachilia mbalia kazi yake lakini ni shabiki mkubwa wa Simba na Man United ya England, kuelekea michezo ya nusu fainali Manara alitoa kauli kuwa kama Liverpool wataitoa Barcelona katika mchezo wa nusu fainali basi atahamia Yanga SC.

Manara amezoeleka kwa kupenda kuwacharua watani zao Yanga lakini baada ya Liverpool kuitoa Barcelona je Manra atahamia na kuvaa jezi ya Yanga kama watu wanavyotarajia? wengi wanasubiri May 8 2019 kuona Manara atatiza lini ahadi yake hiyo kwa maana Liverpool kaitoa Barcelona kwa kuifunga 4-0 (agg 4-3). TAZAMA MANARA ALIYOTOA AHADI HIYO 

 

Kigezo kilichoichuja Yanga na kuipa Simba SC nafasi ya kucheza na Sevilla ya Hispania

Soma na hizi

Tupia Comments