Mix

Majibu ya Polepole kuhusu mkutano wa Kinana na waandishi wa habari….

on

Kumekuwa na taarifa  zikiendelea kuchukua nafasi kwenye mitandao mbalimbali kuwa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Comrade Kinana atazungumza na waandishi wa habari leo March 24, 2017. Sasa basi kupitia ukurasa wa twitter wa Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM, Humphrey Polepole ni kwamba taarifa hizo si za kweli.

Polepole aliyaandika haya>>>”Napenda kukanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni kwamba Katibu Mkuu wa CCM Komrade Kinana atakuwa na Mkutano na waandishi leo Asante.” – Humphrey Polepole

ULIIKOSA HII YA ALICHOKIKUTA RAIS MAGUFULI BAADA YA KUFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA BANDARINI BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments