AyoTV

VIDEO:Vilio vyatawala mazishi ya msanii Mbalamwezi DSM

on

Leo August 17, 2019 ndio siku ambayo msanii wa Bongo Fleva kutoka kundi la The Mafik, Mbalamwezi amezikwa katika makaburi ya kwao Tandika.

Itazame hii video shughuli nzima ya maziko ilivyofanyika nyumbani kwao Tandika Dar es Salaam.

 

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments