Habari za Mastaa

Casto kafunguka kuachana na Tunda “Ninacho kiamua sitakiwi kuingiliwa, Muacheni ale bata”

on

Mtangazaji wa Clouds TV kupitia kipindi cha ‘Sizi kitaa’ Casto Dickson amefunguka kuhusu kile kinachoendelea mtandaoni kuwa ameachana na Tunda ambaye alikuwa naye kwenye mahusiano ya kimapenzi.

Kutazama alichozungumza Casto Dickson kuhusu Tunda Bonyeza PLAY hapa chini kuona.

VIDEO: “Leo nimepata Tuzo, nilipotoka Timamu, kuna team iliandaliwa yakunikatisha tamaa”

EXCLUSIVE: “Mimi naishi maisha yangu sina team, Kolabo na Alikiba inawezekana”

Soma na hizi

Tupia Comments