Burudani

Darassa CMG kaamua kumaliza kimya chake !!!

on

Waswahili wanasema kimya kingi kina mshindo mkubwa hii ndio kauli unayoweza kutumia baada ya hit maker wa ngoma kali kama Muziki na Too Much Darassa CMG kupost katika ukurasa wake wa instagram baada ya kimya cha muda mrefu.

Darassa kimya chake awali kiliwashtua wengi kutokana haikuwa kimya cha kawaida, kwani alikuwa kimya kuanzia kutoa nyimbo, mpya kutopost chochote katika social networks lakini pia alikuwa haonekani kabisa sehemu mbalimbali, tofauti na ilivyo kwa mastaa wengine ambao wanaweza kukaa kimya lakini wakawa wanaonekana club na sehemu mbalimbali.

So kama ni shabiki wa Darassa na umemmiss Darassa taarifa ikufikie kuwa staa huyo wa hit songs za Too Much na Muziki kuna uwezekano akarudi soon katika game kufuatia post yake aliyokuwa ameipost instagram.

MASHABIKI WASHINDWA KUJIZUIA HII YA MENGI NA MKEWE JACQUELINE

Soma na hizi

Tupia Comments