Video Mpya

VideoMPYA: Nedy Music ameiachia rasmi ‘Zungusha’

on

Msanii aliyetambulishwa na record label ya Pozi Kwa Pozi (PKP) katika game ya Bongofleva Nedy Music anaendelea kufanya vizuri katika game na leo ameamua kukusogezea video yake mpya inaitwa ‘Zungusha’ Bonyeza PLAY kuitazama.

EXCLUSIVE: HAMISA AMEJIBU KWENDA DUKANI KWA WEMA NA KUHUSU OFFICIAL LYYN

Soma na hizi

Tupia Comments