Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: JIPYA: Ni kuhusu yule Mjane aliyejitokeza mbele ya Rais Magufuli
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 1, 2023
June 1, 2023
Rafiki wa MC aliyejirusha ghorofani atoweka, aacha ujumbe mzito (+video)
May 31, 2023
Bilioni 4 zimetengwa kwa Wabunifu, watapewa Milioni 50+ watakaokidhi vigezo
May 31, 2023
Isaac anayedaiwa kumng’oa Jino mke wake afikishwa Mahakamani, anyimwa Dhamana
May 31, 2023
Katibu wa CCM Daniel Chongolo atoa siku 10 kwa Waziri wa Maji kukamilisha mradi wa maji katika Wilaya ya Kilolo
May 31, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > JIPYA: Ni kuhusu yule Mjane aliyejitokeza mbele ya Rais Magufuli
Mix

JIPYA: Ni kuhusu yule Mjane aliyejitokeza mbele ya Rais Magufuli

February 9, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Wiki iliyopita Mwanamke aitwae Swabaha Mohamed alijitokeza mbele ya Rais Magufuli na kusema amedhulumiwa mali za mume wake huko Tanga na pamoja na kudhulumiwa amekua akitishiwa maisha.

AzamTV imefika nyumbani kwa Mke mkubwa wa Marehemu Shosi huko Tanga ambaye amesema amesikitishwa na kitendo cha Swabaha kujitokeza mbele ya Rais Magufuli akidai alikua Mke pekee wa marehemu Shosi.

Mariam ambaye ni Mke mkubwa wa Marehemu Shosi amesema >>> “Marehemu Mzee Mohamed Shosi alikua na Wake watatu, mimi nikiwa mke wa kwanza kabisa alinioa wote tukiwa wadogo na tukapata watoto 7, akaja akaoa mke mwingine akazaa nae watoto watatu lakini akafariki kwa ajali ya gari”

“Baadae akaoa Mke mdogo na kuzaa nae mtoto mmoja, tumeshangazwa sana na Swabaha ametudhalilisha sana na kusema Mwanangu anauza unga, hiyo sio kweli ni uongo kabisa… tunakuomba Mh. Rais utume tume yako waje kutuchunguza na sisi”

Mariam amedai kwamba Swabaha alikua anamuita Marehemu Mjomba na anae Mume wake halali ambaye anaishi Tanga, sio mjane… ana mume na ni Wakili anaefanya kazi Tanga……. tazama kwenye hii video hapa chini kupata taarifa kamili

VIDEO: Tazama hapa chini Mwanamke huyo alivyojitokeza mbele ya Rais Magufuli na kupewa ulinzi

You Might Also Like

Rafiki wa MC aliyejirusha ghorofani atoweka, aacha ujumbe mzito (+video)

Bilioni 4 zimetengwa kwa Wabunifu, watapewa Milioni 50+ watakaokidhi vigezo

RPC geita anena ‘Vijana hawaendi Makanisani, Misikitini na kwenye mizimu’

#UNAAMBIWA:Mihailo Toloto mtawa na mwanaume pekee ambaye hajawahi kumuona mwanamke

Rais wa Afrika ya Kati kuitisha kura ya maoni kuhusu katiba mpya

TAGGED: TZA HABARI
Millard Ayo February 9, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article FULL VIDEO: Rais Magufuli kafanya ziara ya kushtukiza Airport Dsm na lipo swali alilojiuliza
Next Article Wabunge wapiga kura za NDIO kwa Paul Makonda na Mnyeti waitwe bungeni
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 1, 2023
Magazeti June 1, 2023
Rafiki wa MC aliyejirusha ghorofani atoweka, aacha ujumbe mzito (+video)
Top Stories May 31, 2023
Bilioni 4 zimetengwa kwa Wabunifu, watapewa Milioni 50+ watakaokidhi vigezo
Top Stories May 31, 2023
Isaac anayedaiwa kumng’oa Jino mke wake afikishwa Mahakamani, anyimwa Dhamana
Top Stories May 31, 2023

You Might also Like

Top Stories

Rafiki wa MC aliyejirusha ghorofani atoweka, aacha ujumbe mzito (+video)

May 31, 2023
Top Stories

Bilioni 4 zimetengwa kwa Wabunifu, watapewa Milioni 50+ watakaokidhi vigezo

May 31, 2023
Top Stories

Katibu wa CCM Daniel Chongolo atoa siku 10 kwa Waziri wa Maji kukamilisha mradi wa maji katika Wilaya ya Kilolo

May 31, 2023
Top Stories

Rais Mwinyi azindua kamati ya maridhiano

May 31, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?