Ad

Top Stories

Taarifa kutoka Bungeni kuhusu wabunge wa Chadema kutohudhuria Vikao

on

Ni Kutokea Dodoma, Bungeni ambapo imetoa taarifa kuhusu baadhi ya Wabunge kutoka CHADEMA wamekuwa watoro kwa kutohudhuria vikao vya Bunge bila ruhusa ya Spika kwa muda wa wiki mbili kinyume na masharti ya Kanuni ya 146 inayosisitiza wajibu wa kila Mbunge kuhudhuria vika nya Bunge.

Soma na hizi

Tupia Comments