Wizara ya Afya Kenya imesema Watu wengine wanne wamethibitika kuwa na corona na kufanya visa vya corona kufikia 126 nchini humo. “Wagonjwa wapya wana umri wa kuanzia miaka 34 hadi 44, kati ya Watu 372 tuliowapima hao wanne ndio tumewakuta na maambukizi”
ULIIKOSA HII YA MASANJA MKANDAMIZJI BAADA YA KUKUTANA NA DC WA DODOMA ITAZAME HII VIDEO HAPA