Wizara ya Afya Kenya imesema wagonjwa wapya 11 wamebainika kuwa na virusi vya corona na kufanya idadi ya visa vya corona Kenya kufikia 208, wagonjwa wapya 11 wote ni Wakenya ambapo sita ni Wanaume na watano ni Wanawake, umri wao ni kati ya mwaka mmoja hadi miaka 45.
CORONA: MTANZANIA AJA NA CAMERA ZA KUPIMA JOTO “ZINATAMBUA SURA YA MWENYE TATIZO”