Top Stories

Taarifa kutoka Kenya visa vya Corona vyafikia 355

on

Wizara ya Afya Kenya imesema Watu wengine 12 wamethibitishwa kuwa na virusi vya corona nchini humo na kufanya jumla ya visa vya corona Kenya kufikia 355 kutoka visa 443>>”kati ya wagonjwa 12 wapya, hawa 8 ni kutoka Nairobi na wanne ni kutoka Mombasa”

MWANA FA KAFUNGUKA ALIVYOUMWA CORONA “RAIS MAGUFULI ALINIPIGIA SIMU, MWANANGU POLE UTAPONA”

Soma na hizi

Tupia Comments