Top Stories

Taarifa kutoka Kenya visa vya Corona vyafikia 672, vifo 32

on

Wizara ya Afya Kenya imesema licha ya maambukizi ya corona kufikia 672 nchini humo, wagonjwa wawili wa corona wote kutoka Mombasa wamefariki na kufanya idadi ya vifo vya Corona kufikia 32, wagonjwa wengine 32 wemepona na kufanya idadi ya waliopona Corona hadi sasa kufikia 239.

JIPYA LAIBUKA ‘CORONA KUAMBUKIZWA KWA NGONO?’, UGUMU KUZUIA MAAMBUKIZI

 

Soma na hizi

Tupia Comments