Top Stories

Taarifa kutoka Uganda visa vya Corona vyafikia 56

on

Wizara ya Afya Uganda imetangaza ongezeko la mgonjwa mmoja wa corona na kufanya idadi ya visa vya Corona kufikia 56 nchini humo, mgonjwa mpya ni mkimbizi wa Burundi mwenye umri wa miaka 46 ambaye aliingia Uganda akitokea Tanzania na akawekwa karantini.

WABUNGE WAFUNGUKA BAADA YA KUANZA KUTUMIA MASHINE ZA KUJIKINGA NA CORONA

Soma na hizi

Tupia Comments