Top Stories

Taarifa kutoka wizara ya Afya visa vya Corona Tanzania vyafikia 20

on

NI Taarifa kutoka Wizara ya Afya ambapo Leo April 1, 2020 imethibitisha kuwepo kwa mgonjwa mpya wa corona DSM, mgonjwa ni Raia wa Marekani, Mwanamke mwenye miaka 42 ambaye amekuwa karibu na Mtu aliyesafiri nje ya Nchi na baadae kuthibitika kuwa na corona aliporejea hapa nchini, hadi sasa kesi za maambukizi ya corona TZ ni ishirini.

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments