Top Stories

Taarifa kwa wanafunzi waliochaguliwa kujiunga Kidato cha 5 mwaka huu

on

Leo June 26, 2020 Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imetangaza kuwa wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano (2020), wataanza masomo 20/7/2020.

Kwa mujibu wa Wizara hiyo wanafunzi wa Kidato cha 5 watakaoripoti 29/6/2020 ni waliokuwa kidato cha 5 wakati shule zinafungwa Machi.

BABA WA MWANAFUNZI ALIEUAWA KISA MAPENZI CHUONI AONGEA “NDIO MSOMI PEKEE KWETU, TULITAKA ATUTUNZE”

Soma na hizi

Tupia Comments