Top Stories

Taarifa mpya kutoka Jeshi la Polisi kanda maalum (video+)

on

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam kupitia kwa Kamanda Muliro Jumanne anazungumza na waandishi wa habari muda huu.

“Jeshi la Polisi kanda maalum  DSM limeendelea kuwashikilia watuhumiwa zaidi ya watu 97 ambao wamehusika uvunjaji wa nyumba mbalimbali Usiku na Mchana kutoka maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam”- Kamanda Muliro Jumanne

Ayo TV & Millardayo.com imekusogezea hapa taarifa kamili unaweza ukabonyeza play kutazama

 

Soma na hizi

Tupia Comments