Top Stories

Taarifa muhimu kutoka BRELA muda wa kuhakikisha taarifa za Makampuni umeongezwa

on

Wakala ya Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) imeongeza muda wa miezi mitatu kwa ajili ya zoezi la uhuishaji wa taarifa za Makampuni na Majina ya Biashara yaliyosajiliwa nje ya mfumo wa Usajili kwa Njia ya Mtandao (Online Registration System – ORS) hadi tarehe 31 Machi 2020.

BRELA inawataka wadau wote waliosajili Makampuni au Majina ya Biashara nje ya mfumo wa Usajili kwa njia ya Mtandao (ORS) kukamilisha zoezi hilo ndani ya muda ulioainishwa.

Soma na hizi

Tupia Comments