Top Stories

Taarifa rasmi ya Wizara juu ya nzige “tumetuma ndege kuwaua” (+video)

on

Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe akiwa Mkoani Dodoma amenukuliwa akisema “Tuna tishio la nzige ila hatujashambuliwa na nzige bado katika Nchi yetu, tuna ndege mbili, dawa za kupuliza, ila na Wadau anzeni kujadili jinsi gani mtakuwa sehemu ya mapambano haya, tujiandae kama tutapata shambulizi tuwe tayari”.

TBS “TUNATAKA KUPUNGUZA GHARAMA KUONDOA MIZIGO, TUMEKUTANA NA TAASISI ZA UONDOSHAJI MIZIGO”

Soma na hizi

Tupia Comments