Top Stories

Taarifa waliyoitoa Mamlaka ya hali ya hewa juu ya tetemeko la usiku

on

Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA), imesema kuwa imefanya uchambuzi wa Tetemeko la Ardhi lililotokea usiku wa kuamkia leo Agosti 13, 2020 na kubaini kuwa Tetemeko hilo halikuwa na nguvu kubwa na hakuna maporomoko ya ardhi yaliyojitokeza baharini ambayo yangeweza kuzalisha Tsunami.

MSAFARA WA TUNDU LISSU WAZUILIWA, YEYE ASEMA “NITALALA HAPAHAPA”

Soma na hizi

Tupia Comments