Habari za Mastaa

Taarifa ya Nay wa Mitego kufiwa na mtoto wake, EX wake kazungumza

on

Leo zimeripotiwa taarifa za Nay wa Mitego kupoteza mtoto wake aliyetarajia kumpata ambaye amefariki wakati akizaliwa, taarifa hizo zimeeleza kuwa Nay alitarajia kupata mtoto wake wa nne kutoka kwa mpenzi wake wa sasa lakini kwa bahati mbaya halikufanikiwa hilo.

Hata hivyo Nay wa Mitego alinukulika akisema…>>“Yah ilibidi nipate mtoto tangu miezi miwili iliyopita ‘but’ bahati mbaya mtoto alifariki wakati akizaliwa, alikuwa mtoto wa kike” – Nay Wa Mitego

Sasa AyoTV imempata mpenzi wa zamani wa Nay ambaye pia ni msanii wa Bongo fleva anayeitwa Nini ambaye amezungumza hapa, Bonyeza PLAY hapa chini kumsikiliza.

BARNABA KAFUNGUKA KUHUSU JIMAMA ALIYETAKA KUMFUNGULIA DUKA, NIWAPENZI..?

Soma na hizi

Tupia Comments