Toka yameanza kutangazwa, hizi ni video 9 za matokeo ya kura za Urais uchaguzi 2015 haitakiwi zikupite.
https://www.youtube.com/watch?v=CdQL4-JDM2k Mpaka sasa tume ya taifa ya uchaguzi imetangaza matokeo ya kura…
Video: Kwa dakika zako 6 tu tazama matokeo ya kura za Urais 2015 Tanzania (majimbo 51)
Kazi ya reporter wako Millard Ayo ni kukukutanisha na ripoti zote kubwa…
Kauli ya Tume ya uchaguzi kuhusu Tanzania bara baada ya matokeo yote ya Zanzibar kufutwa.
Ni headlines baada ya headlines kwenye uchaguzi mkuu wa Tanzania, baada ya…
Mambo 20 yaliyotamkwa na Edward Lowassa (UKAWA) na January Makamba ( CCM) leo Oct 28.
MALALAMIKO YA CCM KUHUSU MATOKEO KWENYE BAADHI YA MAJIMBO 1: Chama cha…
BREAKING NEWS: Maamuzi mapya kuhusu matokeo ya uchaguzi Zanzibar 2015
Matokeo ya uchaguzi mkuu Zanzibar yamefutwa ambapo moja ya sababu za kufutwa kwa…
October 28.. hizi ni kura za urais Tanzania kutoka kwenye Majimbo 51.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa…
Sasa ni zamu ya kuona idadi ya kura za Urais zilizopigwa na Mbeya, Tanga, Arusha, Singida, Tabora na kwengine.
Tume ya taifa ya Uchaguzi imeendelea kutangaza matokeo ya kura za Urais…
Baada ya mbunge wa CCM kutangazwa mshindi Nyamagana Mwanza, Wenje ameyaongea haya mbele ya Waandishi leo
Jimbo la Nyamagana Mwanza ambalo lilikuwa chini ya mbuge Ezekiel Wenje lipo…
Matokeo ya kura za Urais za majimbo yote yaliyotangazwa na tume Oct 27 mchana.
Hii ni list tu ya majimbo 7, mengine naendelea kukuandikia hapa kwenye…
Maneno ya mchekeshaji Kingwendu baada ya kushindwa Ubunge Kisarawe… (+Audio)
Mwigizaji Kingwendu ni miongoni mwa mastaa wa Tanzania ambao walichukua headlines za…