Top Stories

TAHADHARI: Kujikinga magonjwa ya mlipuko kipindi hiki cha mvua

on

Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi, ametoa tahadhari na kuwataka wananchi kujikinga na magonjwa ya mlipuko kwani, kuna uwezekano mkubwa wa kuibuka kwa magonjwa hayo ikiwemo kuhara damu, kipindupindu, Malaria na Dengue, kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha nchini.

INASHANGAZA MAFUVU ZAIDI YA 20 YALIYOKUTWA NYUMBANI KWA NYERERE “YAMEZIKWA KABURI MOJA”

Soma na hizi

Tupia Comments