Top Stories

Tahadhari kwa wanaoagiza magari Japan, mambo sita ya kuzingatia

on

Leo September 24, 2020 Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imetoa tahadhari kwa waagiza magari nchini Japan dhidi ya utapeli unaofanywa na baadhi ya kampuni.

TAJIRI NAMBA 1, TRILIONEA, ALIGAWA DHAHABU KAMA PIPI, WALINZI ELFU 60, MSAFARA TEMBO 100, NGAMIA 80

Soma na hizi

Tupia Comments