Michezo

Mourinho anaamini Eto’o alistahili Ballon d’Or

on

Kocha Jose Mourinho ambaye amewahi kumfundisha mshambuliaji wa kimataifa wa Cameroon Samuel Eto’o katika club ya Inter Milan amekiri kuwa staa huyo anastahili Ballon d’Or.

Eto’o mwenye umri wa miaka 38 mapema wiki hii alitangaza kustaafu kucheza soka akiwa amecheza game 759 za club na kufunga magoli 370 ila kushinda kwake mataji mawili ya UEFA Champions League katika jumla ya mataji 8 aliyotwa Barcelona kwa mchango.

Kushinda taji moja la UEFA Champions Leafue akiwa na Inter Milan kati ya mataji sita akiyowahi kutwaa katika club hiyo Mourinho anaamini, staa huyo wa Cameroon aliyewahi kushinda mataji ya AFCON marabmbilia alistahili kushinda Ballon d’Or.

Soma na hizi

Tupia Comments